Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!
Toyota Brevis zilikuja kwa kasi kubwa sana lakini jambo la kunishangaza wamiliki wameziuza haraka sana na hakuna watu wenye mvuto nazo, mji unao ongoza kuziondoa ni Dar es Salaam hivi sasa zinaonekana kwa bahati sana
Ni nini tatizo lililoikumba Toyota Brevis walimwengu?