Masanja
JF-Expert Member
- Aug 1, 2007
- 5,319
- 10,416
Mimi nadhani tufike sehemu, hii elimu ya Mzungu aliyotuachia tuitafakari upya. Hivi gari unatumia mwenyewe. Inakusaidia kutoka point A kwenda B. Utaitaje liability? Ukiugua au kuuguza usiku, ni hiyo gari itakukimbiza kuokoa uhai. Utaitaje liability?Ilikuwepo verosa ikak8mbiwa
Mark x yenyewe ishakimbiwa
Crown yenyewe ishaanza kukimbiwa
Magari ni liability siyo asset
Ova
Ok. Nyumba ni asset. Lakini ukipata dharura, haina msaada. Kitu kinachokusaidia mwenyewe ni asset muhimu. Mwisho wa siku, gari ina wear out, inachoka unauza. Lakini hiyo ni kwa vitu na watu. Hata sisi unafika mda tunachoka, hatuhitajiki tena duniani. Ni kanuni ya maisha.
Mimi nadhani gari ni asset. Tena asset ya maana tuu. Faida zake ni both tangible na intangible.