Wataalamu wa Magari tuelezeni kwanini watu wengi wamezikimbia Toyota Brevis, hazipo tena mjini, kulikoni!


Kama zimepotea nchini je wameziuza nje ya nchi?
 
Zinauziwa huku huku ndani ila wajanja hawanunui kwahiyo mjinga akishkishwa siku akipata akili akitaka na yeye kuliuza anakosa wateja anaishia kulipaki
Kwahiyo inabidi uuze kama tapeli? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…