Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
- #21
duuh kisa hutu tududeNenda hospital
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh kisa hutu tududeNenda hospital
Anyway labda majinina mke bro n jana tu
Leta picha hiyo tuone huo mkono unaotype humu ukoje, au vimeota pajani 😜😁 Aloooh
yamefanyajeAnyway labda maji
Mdharau mwiba mguu huota tende, au umetembelewa na nairobi fly?duuh kisa hutu tudude
hapo sasaLeta picha hiyo tuone huo mkono unaotype humu ukoje, au vimeota pajani 😜
Basi hakuna shida utakuwa sawa afya kwa Sasa imekuwa kitu sensitive sana Kila dalili unayosikia au kuona kwenye mwili utataka kujua imetokana na Nini.hapana mkuu huwa sijitibu bila kupima
apana n mkonon sema vnapotea imebaki alama nyeus kdogo 🤣🤣au viko sehem za siri😂😂
ndo nilitaka nijue kama ni dalili ya kitu kikubwaMdharau mwiba mguu huota tende, au umetembelewa na nairobi fly?
ebu toka uko 🤣🤣🤣🤣mkono mgumu una sugu za kutoshaLeta picha hiyo tuone huo mkono unaotype humu ukoje, au vimeota pajani 😜
Ebu tuone kama kweli nna dawa ya suguebu toka uko 🤣🤣🤣🤣mkono mgumu una sugu za kutosha
nataka kuchekwa na ukoo wa jf sas mmEbu tuone kama kweli nna dawa ya sugu
ndio wahi kwa wataalam wa afyando nilitaka nijue kama ni dalili ya kitu kikubwa
Kwani ulishawaambia wewe ni soft soft ?nataka kuchekwa na ukoo wa jf sas mm
Sjawaambia ila najuaKwani ulidhawaambia wewe ni soft soft ?
Sasa wakuchekee nnSjawaambia ila najua
kwaio kila anaechekwa hutoa taarifa 😂😂 hujawah pita sehem na wakaanza tu kukucheka?Sasa wakuchekee nn