Wataalamu wa Magonjwa ya ngozi, hii ni changamoto gani?

Kuwen makin kuna mlipuko wa ugonjwa huko congo....unaitwa MPOX au monkey pox ni ugonjwa unaotokana na homa ya nyani...na unashambulia sana ngozi..Tahadhari tuu wajameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…