Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hapana haijawahi, tufunge mjadala kama hutumi.kwaio kila anaechekwa hutoa taarifa ππ hujawah pita sehem na wakaanza tu kukucheka?
weka hiyo kitu ww acha kutubaniaSjawaambia ila najua
heeeHapana haijawahi, tufunge mjadala kama hutumi.
Na kama yupo arusha ndio kabisa ni mdudu huyo.umetembelewa na mdudu bhan
πππwe akili zakoNa kama yupo arusha ndio kabisa ni mdudu huyo.
ππππwe akili zako
inaisha kwa mtu ganumetembelewa na mdudu bhan
Mkuu punguza matumizi ya vykula vya sukari Mfano soda ,juice, chai pia ukienda haja ndogo ichunguze kama ina povu maana hali hiyo huwa ni warning sign ya mwiliNimepatwa ghafla na hivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo!
kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi.