Binti wa zamani Platinum Member Joined Nov 19, 2011 Posts 15,052 Reaction score 36,866 Jul 10, 2025 #21 Shyshka Reinhardt said: Binti wa zamani nimekuita mara tatu, njoo utoe Maelezo hapa ππΈ Click to expand... Vitu gani hivi lakini, huyo binti afocus kwenye kumnogesha na mbususu tu, hapo ndiyo huwa hawafurukuti. Sikujua kumbe kuna watu wanakata vitunguu wapenzi wao wawe wanawapigia simu, daaah π π π
Shyshka Reinhardt said: Binti wa zamani nimekuita mara tatu, njoo utoe Maelezo hapa ππΈ Click to expand... Vitu gani hivi lakini, huyo binti afocus kwenye kumnogesha na mbususu tu, hapo ndiyo huwa hawafurukuti. Sikujua kumbe kuna watu wanakata vitunguu wapenzi wao wawe wanawapigia simu, daaah π π π
Keyboard_Warrior JF-Expert Member Joined Oct 10, 2015 Posts 6,381 Reaction score 11,296 Jul 10, 2025 #22 Baki huku! Wanawake wa Kiswahili watakunyofoa roho.
Mafeking JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 315 Reaction score 614 Jul 10, 2025 #23 Hataki competitionπ€£
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 10, 2025 #24 Elimu muhimu sana. Mwandiko wa mlozi unaonyesha std 7 failure
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,095 Reaction score 13,016 Jul 10, 2025 Thread starter #25 Mshana Jr said: Uchawi mbaya huo Click to expand... Mkuu, hicho kitunguu na hiyo sindano, vina maana gani hapo?
Mshana Jr said: Uchawi mbaya huo Click to expand... Mkuu, hicho kitunguu na hiyo sindano, vina maana gani hapo?