Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anaanza kucheza mwenye blue, hiyo ni sare na akianza mwenye nyekundu hiyo ni super bila chenga...Nimekuta watu wanacheza draft na wanabishana kuwa hilo ni supa.Nikaamua kupiga picha hiyo niwaulize je hili ni supa au sio supa?
ZAMU YA MWENYE NYEKUNDU
View attachment 995749
Una ubingwa gani kama umeshindwa tu kuuliza mwenye zamu ya kucheza??Hapo hakuna namna naongea bingwa wa kina mangwelele and the likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe kama zamu ni ya mwenye nyekundu anafungwa super huyoWe jmaa draft hujui? Iwe french au british hakuna gori kwa vyovyote vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmhh unavyokazia kama unajua!Hamna super wala goli hapo kwa anaejua draft hapo ni draw
Anatema ya mbele kisha anaanza nyuma ukihesabu michezo ananafasi ya kupita na kupata droo!
!
Hakuna Super Hapo. Droo Hiyo Hapo. Anatoka Nyuma Kule