Wataalamu wa Miti na Vyanzo vya maji nawaomba hapa

Idrissou02

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
354
Reaction score
656
JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu.

Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
 
Bamboo ni nzuri sanaa na pia inaleta hewa nzuri sana.
 
Baobab (mbuyu) na cactus ile yenye mibamiba inapatikana sana nevada na new Mexico
Panda miti ifuatayo
1. Mikuyu
2. Migwina
3. Jamii za albizia
Kwa matokeo ya haraka panda majani yanaitwa mabingo bingo yapo kama miwa ila ni membamba sana na yana shina jembamba la kijivu.
 
Shukran chief
 
Back
Top Bottom