Wataalamu wa Mobile App development, mkuje mnisaidie mwenzenu

Wataalamu wa Mobile App development, mkuje mnisaidie mwenzenu

Attachments

  • Screenshot_2023-08-30-20-21-20-627_com.chrome.beta.jpg
    Screenshot_2023-08-30-20-21-20-627_com.chrome.beta.jpg
    76.4 KB · Views: 6
Mkuu naona mzigo upo kabisa, hapa nimepata unafuu, naomba basi kama hutojali, unipigiw screenshot ya hilo folder la SDK ili nione namna ya kuyapanga baada ya kudownload yote.
anza na izo system images

jamaa kaelezea kidogo hapa
una extract izo images husika kwa sdk>system-images folder kwa muonekano huu
111.PNG

222.PNG
 
Hakuna tofauti ukidownload kwenye browser au Android Studio zote ni download zinazokula data hakuna kitu kama kudownload pembeni.
Sana sana utavuruga setup na kuachana na hii kitu.

Labda tafuta sehemu yanye hizi line za "Unlimited" kama TTCL, zuku etc ufanye download ya kwanza.
 
Wakuu nina infinix hot 30 lakini imegoma kuplay game la asphalt 9 ...vp wataalamu je kun driver naez wek lbd??? Msaaada wakuu
 
Unaweza download tools moja moja then ukarun kwa terminal pale ufanye installation.

Kama unajua kucheza na terminal.

Kama hujui, tafuta muda nenda ktk Malls or office za watu wakupe free wife ufanye installation.

Ukishainstall hapo bado kuna kisanga cha kuinstall Emulators. sio kaz ya siku moja
 
ni hatari mkuu, mpaka nimechoka.
 
Yes nikweli mkuu..nilochependa google kabla ya kumaliza koz lazima utengeneze app mbili za kueleweka hiyo ita add up kwenye career yako kama web au app developer
Naomba link ambayo wanatoa Certificate
 
Mwenye Google Play Console nanunua bei kuanzia laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, ikiwa na keystore itakua poa zaidi, nicheki 0718474600 kama unayo
 
Back
Top Bottom