Kwa hapo sio mtaalam sana nikuitie vipanga kina ,aise na Fundi mahiri wa UjenziBwashee usiishie kutoa likes nisaidie min -me
Si bure uko huko rombo sijui rau umelewa chakari.Mi niko serious we mchaga sasa vikatuni vya nini jamani😭Prida kama prida, mwanangu sana wewe bila hata kusoma naunga mkono hojaView attachment 3614156
Hahaha , sipo rombo , mimi sio mchaga wa rombo japo napajua vizuri sanaSi bure uko huko rombo sijui rau umelewa chakari.Mi niko serious we mchaga sasa vikatuni vya nini jamani😭
🙏🙏Kwa hapo sio mtaalam sana nikuitie vipanga kina ,aise na Fundi mahiri wa Ujenzi

Hahaha kimtindo tu, badae naingia kazini , nimerashia tu😅Sawa haupo rombo ila kama umelewa hivi🏃♀️➡️
Haya mambo ya ufundi mkuu Kila mtu atakuja na maelezo yake, na kila mmoja anaweza kuwa sahihi kwa kiasi Fulani!Kwa hapo sio mtaalam sana nikuitie vipanga kina ,aise na Fundi mahiri wa Ujenzi
Jibu kitaalamu bila kumlinda yeyoteHaya mambo ya ufundi mkuu Kila mtu atakuja na maelezo yake, na kila mmoja anaweza kuwa sahihi kwa kiasi Fulani!
Hizi gundi za Tiles zimetengenezwa na kemikali maalumu ambazo zinaikamata tiles, hasa hizi Tiles za kisasa ambazo hazinyonyi maji.
Simenti inategemea Tiles inyonye maji ndipo iikamate tiles, kitu ambacho tiles nyingi za Sasa hazifanyi.
Sasa hapo mleta Uzi anauliza amuamini nani kati ya muuza duka au fundi wake mimi Sina maoni hapo
Arudi dukani wakampe fundi wao aje kuweka tiles hizoHaya mambo ya ufundi mkuu Kila mtu atakuja na maelezo yake, na kila mmoja anaweza kuwa sahihi kwa kiasi Fulani!
Hizi gundi za Tiles zimetengenezwa na kemikali maalumu ambazo zinaikamata tiles, hasa hizi Tiles za kisasa ambazo hazinyonyi maji.
Simenti inategemea Tiles inyonye maji ndipo iikamate tiles, kitu ambacho tiles nyingi za Sasa hazifanyi.
Sasa hapo mleta Uzi anauliza amuamini nani kati ya muuza duka au fundi wake mimi Sina maoni hapo
Mkuu, aina hiyo ya tiles gundi yake ni nzuri zaidi.Jibu kitaalamu bila kumlinda yeyote
Haya mambo ya ufundi mkuu Kila mtu atakuja na maelezo yake, na kila mmoja anaweza kuwa sahihi kwa kiasi Fulani!