Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

Tumia gundi yake. Na fundi huyo achana nae.
 
Sorry wakuu @prondo Pendaelli nje ya mada kidogo. @PRONDO

Eti unit moja ya maji ni ndoo ngapi.
 
Ndoo kubwa za lita 20 hamsini au ndoo ndogo za lita 10 mia

Kwa kifupi UNIT moja ya maji ni sawa na Lita 1000
Asante mkuu.πŸ™

Kwa hiyo kumbe ka tank ka lita 2000 ni unit 2 tu.
Duuh!
Okay.
 
Zikiwekwa kwa gundi yake itavutia zaidi n imara pia.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Asante mkuu.πŸ™

Kwa hiyo kumbe ka tank ka lita 2000 ni unit 2 tu.
Duuh!
Okay.
Sehemu ninayoishi bili ya maji Kwa mwezi ni 8,000 Kwa Kila mtu πŸ€”
Just imagine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…