Hizi ni mbinu tu za matapel..watu wamepigwa sanaHakuna biashara ya red mercury duniani. Iliwahi patikana mercury nyekundu kiasi kidogo africa kusini zamani ila hamna nyingine imewahi kupatikana. Hamna hiyo biashara.
Mbona lina umbo zuri kiasi hichoKuna mwanakijiji kaniletea jiwe ni la chuma dogo sana hata kiganja hakijai ila nimelipima lina kilo 2.3 kiukweli mimi sjui mambo ya red mercury nasikiaga tu ila hili jiwe wanadai ndani lina red mercury,hivi hii imekaaje ?Ila nikiligonga linalia kama chuma.
Kuna mwanakijiji kaniletea jiwe ni la chuma dogo sana hata kiganja hakijai ila nimelipima lina kilo 2.3 kiukweli mimi sjui mambo ya red mercury nasikiaga tu ila hili jiwe wanadai ndani lina red mercury,hivi hii imekaaje ?Ila nikiligonga linalia kama chuma.