The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kuna mwanakijiji kaniletea jiwe ni la chuma dogo sana hata kiganja hakijai ila nimelipima lina kilo 2.3 kiukweli mimi sjui mambo ya red mercury nasikiaga tu ila hili jiwe wanadai ndani lina red mercury,hivi hii imekaaje ?Ila nikiligonga linalia kama chuma.