Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 155
Kwa ufupi gypsum zote hazishiki moto, tofauti ni ubora, za tz zinapukutika kirahisi na china sio nzuri sana, za india,alysia, taiwan na s. Africa zina ubora zaidi hasa maji hayapenyi kwa haraka mkuuWakuu!!
Kuna hizi Gypsum, ni teknolojia mpya tofauti kabisa na siling boards tulizozizoea.
Naomba kujulishwa, kuna tofauti gani ya ubora kati ya Gypsum ya Tanzania( inayouzwa Tsh 13,500/-), China (Tsh 15,000), Kenya (Tsh 15,000), Malaysia (Tsh 18,000) na Touch boards za kampuni ya Ando (Tsh 15,500)??
Ipi tofauti ya ubora? Maana tunachanganyikiwa ktk choice
Asante kwa ushauriHizo za Thailand zipo juu sababu ya kodi na ubora, ila ni vyema ukanunua za Tanzania maana zina ubora na wana TBS accreditation. Pia utasaidia kulinda ajira za wazawa na kuinua uchumi wa nchi. Nipeni likes za kutosha.
_______________________________________
IG: @marble_na_granite
Asante, nitafuatiliaNaona siku hizi wengi wanaonunua gypsum boards wanapendelea zile zilizoandikwa "ANDIKA".
Asante kwa ushaurimimi nikiongea kwa uzoefu wangu kama fundi nakushauri chukua gyproc ya thailand
Asante kwa ushauriChukua za Thailand mkuu, I hope wet areas headroom ni kubwa kiasi cha kutolowesha hizo gypsum
what are your reasons?ziweke hapa!mimi nikiongea kwa uzoefu wangu kama fundi nakushauri chukua gyproc ya thailand
Ndio hasa nahitaji maelezo.what are your reasons?ziweke hapa!
Asante sana mkuu. Umenipa ushauri murua kabisa.Angalia kipato chako kama knaruhusu chukua gypsum za andika,screw za andika ,screw driver za andika hadi zile gundi za kuziba maungio chukua andika Hapo kasoro fundi tu ndo awe mbongo bt mambo kma hayaruhusu chukua hzi tembo za kibongo alafu pale sebuleni kwako mikanda na maua yawe amazing tena kama upo town huko gerezan kuna maua ya gypsum amazing sana kisha tafuata fundi mkali wa rangi anayeweza skimming vizuri akupakie rangi safi kabisa kisha tafuta fundi umme ukudisignie taaa za hapo sebulen kwako hapo mambo yatakuwa safi hata mtu akija hawezi jua kama hzi bodi ni za bongo au thailand na kule vyumban weka tu za kibongo ila mikanda na conice hakikisha unachukua nzuri za kuvutia .