Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,890
- 7,043
Mkuu hizo screw driver za Andika kama ulivyoandika ni kwa ajili ya nini?Angalia kipato chako kama knaruhusu chukua gypsum za andika,screw za andika ,screw driver za andika hadi zile gundi za kuziba maungio chukua andika Hapo kasoro fundi tu ndo awe mbongo bt mambo kma hayaruhusu chukua hzi tembo za kibongo alafu pale sebuleni kwako mikanda na maua yawe amazing tena kama upo town huko gerezan kuna maua ya gypsum amazing sana kisha tafuata fundi mkali wa rangi anayeweza skimming vizuri akupakie rangi safi kabisa kisha tafuta fundi umme ukudisignie taaa za hapo sebulen kwako hapo mambo yatakuwa safi hata mtu akija hawezi jua kama hzi bodi ni za bongo au thailand na kule vyumban weka tu za kibongo ila mikanda na conice hakikisha unachukua nzuri za kuvutia .