Mkuu hizo screw driver za Andika kama ulivyoandika ni kwa ajili ya nini?Angalia kipato chako kama knaruhusu chukua gypsum za andika,screw za andika ,screw driver za andika hadi zile gundi za kuziba maungio chukua andika Hapo kasoro fundi tu ndo awe mbongo bt mambo kma hayaruhusu chukua hzi tembo za kibongo alafu pale sebuleni kwako mikanda na maua yawe amazing tena kama upo town huko gerezan kuna maua ya gypsum amazing sana kisha tafuata fundi mkali wa rangi anayeweza skimming vizuri akupakie rangi safi kabisa kisha tafuta fundi umme ukudisignie taaa za hapo sebulen kwako hapo mambo yatakuwa safi hata mtu akija hawezi jua kama hzi bodi ni za bongo au thailand na kule vyumban weka tu za kibongo ila mikanda na conice hakikisha unachukua nzuri za kuvutia .
Screw drivers hutumika kufungia gypsum board.Hzo huwa hazipigwi misumari kama zile silin board za kawaidaMkuu hizo screw driver za Andika kama ulivyoandika ni kwa ajili ya nini?
Screw driver ni bisibisi. Je bisibisi ingine yoyote haiwezi kufunga hizo screw za Andika mpaka utumie screw driver yao?Screw drivers hutumika kufungia gypsum board.Hzo huwa hazipigwi misumari kama zile silin board za kawaida
Hio bei na usafiri juu yako?Habari yako mkuu, tunaweza ongea biashara nikakupa zile za China kwa gharama ya 14800/piece. Malipo yatafanyika mzigo ukifika site. Karibu Sana
Nina kaujenzi kangu nimeamua kuwa mzalendo nimetumia tiles za Tz (Goodwill) kiwanda kipo MkurangaHizo za Thailand zipo juu sababu ya kodi na ubora, ila ni vyema ukanunua za Tanzania maana zina ubora na wana TBS accreditation. Pia utasaidia kulinda ajira za wazawa na kuinua uchumi wa nchi. Nipeni likes za kutosha.
_______________________________________
IG: @marble_na_granite
Wataalam wanashauri bora kutumia double elephant za Tanzania kuliko hizo za kichinaHabari yako mkuu, tunaweza ongea biashara nikakupa zile za China kwa gharama ya 14800/piece. Malipo yatafanyika mzigo ukifika site. Karibu Sana
Hio bei na usafiri juu yako?
Wataalam wanashauri bora kutumia double elephant za Tanzania kuliko hizo za kichina
Nina kaujenzi kangu nimeamua kuwa mzalendo nimetumia tiles za Tz (Goodwill) kiwanda kipo Mkuranga
8ft kwa 4ftDimensions za gb huwa zipoje ili nikokotoe mwenyewe idadi kwa hiki kibanda?
Hili swali la msingi sana.. wadau toeni majibu!Mnaopendekeza za Thailand na si za Tz mtuambie ukiweka za Tz nini kitatokea?
Upo wap mkuuHabari yako mkuu, tunaweza ongea biashara nikakupa zile za China kwa gharama ya 14800/piece. Malipo yatafanyika mzigo ukifika site. Karibu Sana
Hivi za Tanzania hazina grade?Kwa ufupi gypsum zote hazishiki moto, tofauti ni ubora, za tz zinapukutika kirahisi na china sio nzuri sana, za india,alysia, taiwan na s. Africa zina ubora zaidi hasa maji hayapenyi kwa haraka mkuu
Za Thailand ndiyo nzuriKwa ufupi gypsum zote hazishiki moto, tofauti ni ubora, za tz zinapukutika kirahisi na china sio nzuri sana, za india,alysia, taiwan na s. Africa zina ubora zaidi hasa maji hayapenyi kwa haraka mkuu
Sijawahi kuona za grade tofautiHivi za Tanzania hazina grade?