Wataalamu wa ujenzi nyumba kama hii niandae sh. Ngapi na mimi niamie kwangu?

Hapo tofali nimehesabu ni kama 400
Nondo kama 5
Cement jumla mifuko 10
Mchanga kicanter tu
Kokoto viroba 40
Bati 6
Piga hesabu hapo na jumlisha ya fundi.

Hako mkuu kaanze tu,very simple
 
Laki 8 tu tayari wanakuandikia anwani ya makazi mlangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…