Wataalamu wa umeme wa viwandani, wanahitajika haraka

Wataalamu wa umeme wa viwandani, wanahitajika haraka

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Salaam wakuu, Nime ona ni share Fursa hi ya nafasi za kazi zilizo patikana

👉Wana hitajika wataalamu wawili, wa kushughulikia maswala ya umeme wa viwandani.

👉Pamoja na mtu anae jua lugha ya kichina, kwa ufasaha vizuri.

👉Eneo la kazi ni Tanga na Daresalaam.

👉Ila Kuna vituo vya kuzungukia pia.
 
Back
Top Bottom