Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
-
- #21
Pamoja mkuu, ni kuto kuelewana kidogo tu.Am sorry,mie nimefanya funny tu jinsi wachina wanavyoongeaga ,Wala Sina jingine pia sikujua Kama Ni wewe uliyeandika mkuu. Am very sorry,I was just making the fun or imitating the way they talk
Unapigiwa muda sio mrefu, uta elekezwa wapi pa kutuma cv🙏Mkuu check pm
I understood it hardlyPamoja mkuu, ni kuto kuelewana kidogo tu.
👉We ni brother angu, kirohi Safi🙏
Nime iangalia, ila kiukweli muda ni mchache Sana.Mkuu check pm
Unapigiwa muda sio mrefu, uta elekezwa wapi pa kutuma cv🙏
Mkuu una Anza vipi kuwaza mishahara, hata kazi yenyewe huja Iona??Mishahara yao ndiyo kichefuchefu!
Weka namba, Nime Soma pm.Nimeomba usome pm yangu mkuu. Mimi sio fundi Ila nina jambo la viwandani pia. Kama namba ya kunipigia basi ngoja nikaweke sawa maana nilitoa ya WhatsApp only!
Tayari Mkuu!!Weka namba, Nime Soma pm.
👉Nataka hi issue iishe leo, Nime share ka Fursa tu🙏
Kuna watu wajinga, ila wewe Ume zidi.0788722136 Nitafute mkuu
contact +255743601305Wakuu Bado hakuna mtu aliye patikana, kwa anaye hitaji tuwasiliane.
Kaka shida mna pigiwa simu, hampokei🤔.contact +255743601305
Ume pigiwa simu zaidi ya Mara 2, hupokeii🤔.kuna ndugu yangu hapa kasoma Industrial engineering management, ni kilaka hata umeme anaweza fanya kama akifanyiwa orientation au probation, vipi anaweza pata fursa mkuu
Isha pokelewa, ngoja tuta ona majibu yao🙏sawa mkuu
okay shukrani, Mungu awe naeIsha pokelewa, ngoja tuta ona majibu yao🙏
Pamoja mkuu, mi mwenyewe jobless.okay shukrani, Mungu awe nae
pamoja mkuuPamoja mkuu, mi mwenyewe jobless.
👉 Tuombeane kheri🙏