Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

Wataalamu wanisaidie gharama ya vifaa vifuatavyo vya ujenzi

Gramunyo

Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
45
Reaction score
18
Mbao ndefu futi 20.
2 X 4 = 150Pcs
2 X 2 = 130Pcs
1 X 8 = 18Pcs
1 x 10 = 12Pcs
BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30)
Kofia = 30
Valley 15
Misumari ya nnchi 4 = 50kg
misumari ya nnchi 2.5 = 4kg
Misumaru ya Bati =30 packet
kenchi wire = 6
 
Hizo 2×4 fundi anapiga hapo 30.
Yaani 2×4 pc 150 na 2×2 pc 130? Labda kama unapaua kigae ila hizo bati za mgongo mpana kwa kweli ....
Au ni pamoja na bladering labda
 
Hizo 2×4 fundi anapiga hapo 30.
Yaani 2×4 pc 150 na 2×2 pc 130? Labda kama unapaua kigae ila hizo bati za mgongo mpana kwa kweli ....
Au ni pamoja na bladering labda
Nimepatiwa na fundi mmoja hivi baada ya kumuomba anikadirie material za kuezeka
 
tafuta fundi kwanza haya mahitaji umepigwa

Mbao ndefu futi 20.
2 X 4 = 150Pcs
2 X 2 = 130Pcs
1 X 8 = 18Pcs
1 x 10 = 12Pcs
BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30)
Kofia = 30
Valley 15
Misumari ya nnchi 4 = 50kg
misumari ya nnchi 2.5 = 4kg
Misumaru ya Bati =30 packet
kenchi wire = 6
 
Mbao ndefu futi 20.
2 X 4 = 150Pcs
2 X 2 = 130Pcs
1 X 8 = 18Pcs
1 x 10 = 12Pcs
BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30)
Kofia = 30
Valley 15
Misumari ya nnchi 4 = 50kg
misumari ya nnchi 2.5 = 4kg
Misumaru ya Bati =30 packet
kenchi wire = 6
Wewe uko wapi? Ungekuwa Dar hii ni kazi ya dakika 20 hadi 30 kama ukifika maeneo wanako uza vifaa hivyo kama hapa Buguruni Chama; kwa kweli huna haja ya kulileta humu JF kwa msaada. Nakushauri, kama uko Dar basi zungukia hapo Buguruni Chama au maeneo mengine kunako uzwa vifaa hivyo.
 
Sawa nimeona site iko Mapinga, basi fanya kama ulivyo shauriwa humu JF. Ila bei katafute mwenyewe!
 
Bati DRAGON wameniambia gauge 30 migongo mipana futi 10 ni Sh. 27,500/- per piece,

Wakati ALAF wameniambia Sh. 38,500/-.
 
Mbao ndefu futi 20.
2 X 4 = 150Pcs
2 X 2 = 130Pcs
1 X 8 = 18Pcs
1 x 10 = 12Pcs
BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30)
Kofia = 30
Valley 15
Misumari ya nnchi 4 = 50kg
misumari ya nnchi 2.5 = 4kg
Misumaru ya Bati =30 packet
kenchi wire = 6
Mkuu weka picha ya nyumba hapa na wengine tujifunze kupitia kwako
 
Mbao ndefu futi 20.
2 X 4 = 150Pcs
2 X 2 = 130Pcs
1 X 8 = 18Pcs
1 x 10 = 12Pcs
BATI = 130 Pcs upana 87 cm (ALAF gage 28 au 30)
Kofia = 30
Valley 15
Misumari ya nnchi 4 = 50kg
misumari ya nnchi 2.5 = 4kg
Misumaru ya Bati =30 packet
kenchi wire = 6
Alaf hawa G30, bati zao upana huanzia 110-122cm
 
Back
Top Bottom