Ukaona kama Alaf wamekupiga au kama Dragon huenda wanauza feki ndio maana wanauza bei ndogo??Bati DRAGON wameniambia gauge 30 migongo mipana futi 10 ni Sh. 27,500/- per piece,
Wakati ALAF wameniambia Sh. 38,500/-.
Sasa iko hivi hao wote Alaf na Dragon bei zao ni almost same.
Fanya hivi. Hilo bati migongo mipana futi 10. Vipimo vimefanana.
Tofauti hapo ni Upana ndio maana Alaf bei imekuwa kubwa. Dragon watakuuzia upana kati ya 75 hadi 87 wakati Alaf watakuuzia 122cm. Ukifanya calculation utakuta wote bei ni moja ila wasio na kupato watakimbilia Dragoni wakiamini bei ni rahisi