Ukaona kama Alaf wamekupiga au kama Dragon huenda wanauza feki ndio maana wanauza bei ndogo??Bati DRAGON wameniambia gauge 30 migongo mipana futi 10 ni Sh. 27,500/- per piece,
Wakati ALAF wameniambia Sh. 38,500/-.
Kigae inakula mbao mpka unachanganyikiwa. Hivi juzi nimepiga Mbao 700 hivi. Makadirio nilipiga mbao 450.Hizo 2×4 fundi anapiga hapo 30.
Yaani 2×4 pc 150 na 2×2 pc 130? Labda kama unapaua kigae ila hizo bati za mgongo mpana kwa kweli ....
Au ni pamoja na bladering labda
Ukaona kama Alaf wamekupiga au kama Dragon huenda wanauza feki ndio maana wanauza bei ndogo??
Sasa iko hivi hao wote Alaf na Dragon bei zao ni almost same.
Fanya hivi. Hilo bati migongo mipana futi 10. Vipimo vimefanana.
Tofauti hapo ni Upana ndio maana Alaf bei imekuwa kubwa. Dragon watakuuzia upana kati ya 75 hadi 87 wakati Alaf watakuuzia 122cm. Ukifanya calculation utakuta wote bei ni moja ila wasio na kupato watakimbilia Dragoni wakiamini bei ni rahisi
Mapinga ni pwani mkuu sio DsmDSM mapinga