Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Halafu tutaumaliza huu ubishi. Kwa sababu ubishi sasa hivi ni whether Rais anapaswa kujiuzulu au Mkataba unahitaji marekebisho kidogo. Mi nadhani Mkataba unahitaji slight alterations,halafu wananchi watakuwa appeased.
Hasa huo muda mrefu wa Mkataba ni tatizo kubwa kwa wengi.
Hasa huo muda mrefu wa Mkataba ni tatizo kubwa kwa wengi.