Wataalqmu wa lugha ya kingereza.msada kwenye tuta

Wataalqmu wa lugha ya kingereza.msada kwenye tuta

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.

Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
20250310_182024.jpg
 
Sentence ya kwanza ..mwalimu amesimama na Debora kama noun na sio wazazi wa Debora ndo maana ametumia "has" badala ya "have"
Sentence ya pili ...."has"imetumika kama verb baada ya "will"ambayo ni lazm ifatiw na infinitive verb

Cc chatgpt
 
Hii lugha sijawahi kuielewa,... shukran kiongozi
 
Back
Top Bottom