Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Mote humo ni mwendo wa have, labda kama lugha imebadilika.
Mkuu hawa ndio wamekupa jibu sahihi. Kiufupi huyo Mwalimu ni mpuuzi wa mwisho. sijui anawafundisha nini watoto wenu.Setensi ya kwanza sio sahihi,
ya pili pia haipo sahihi kwa sababu ya hiyo WILL
kwa hiyo itakuwa She will have na sio has
has inatumika kwa He/She/It
Have inatumika kwa I/You/We/They
No this is seriousukute alijitikisha mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo kwa ulichokimaanisha hapo nikisema “ SHE will have a lot of money soon“ sentensi hii inakua wrong?...Sentence zote hapo juu ni incorrect mwalimu nikilazaSetensi ya kwanza sio sahihi,
ya pili pia haipo sahihi kwa sababu ya hiyo WILL
kwa hiyo itakuwa She will have na sio has
has inatumika kwa He/She/It
Have inatumika kwa I/You/We/They
Sasa walimu wa form four failures ulitaka wafundisheje? Mpango wa serikali ya ccm ni kutengeneza wajinga wengi wa kutawaliwa bila ubishi.Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842
When the chicks grow she will have.... Vifaranga vikikua atakuwa na. Hata ya kwanza jibu sahihi ni Parents have...Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842
basi mwalimu ni kilazaNo this is serious
Ukitumia maneno kama haya unaweza kujikuta uko UCHI kwenye mambo ya taaluma.Sentensi ya kwanza mwalimu ni kilaza,
Sentensi ya pili mwalimu yupo sawa.
Subiri mwalimu wangu Chaliifrancisco aje, mimi mwenyewe shule niliishia form 4.
Nahisi sentesi ya pili itakuwa hiviUkitumia maneno kama haya unaweza kujikuta uko UCHI kwenye mambo ya taaluma.
Hiyo sentensi ya pili hata haieleweki inamaanisha nini.
Mpiga picha tu amekata neno la mwanzo, hapo kuna 'As' au 'When' kabla ya 'the'. Swali liko vizuri ila jibu sio sahihiHiyo sentensi ya pili hata haieleweki inamaanisha nini.
Tofauti ipo kwenye general vs specific number of items.nami naomba kujua tofauti ya kuku wengi (many hens) na kuku kumi na nne (fourteen hens)
Walimu wote hao ni vilazaSentensi ya kwanza, Mwalimu ni Nnape .
Sentensi ya Pili Mwalimu ni Tundu LISSU.
Has is a singular verb and have is plural verb, So the correct answer for each question is "Have" because the nouns refered are in plural form.Angalia picha hapa chini, sijajua matumizi ya "has"na "have" yamekaaje.hapa.
Mtoto alikuwa amejaza "have" akakosa na corrections ni kama unavyoona hapo. Je ni sahihi? Hawa walimu wetu ni changamoto sana.
View attachment 3265842