Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Mote humo ni mwendo wa have, labda kama lugha imebadilika.
Mkuu hawa ndio wamekupa jibu sahihi. Kiufupi huyo Mwalimu ni mpuuzi wa mwisho. sijui anawafundisha nini watoto wenu.Setensi ya kwanza sio sahihi,
ya pili pia haipo sahihi kwa sababu ya hiyo WILL
kwa hiyo itakuwa She will have na sio has
has inatumika kwa He/She/It
Have inatumika kwa I/You/We/They