Watabe wa Physics naombeni msaada haya maswali chap chap, sijiamini na majibu

Nadhani msingi wa swali la kwanza ni hizo units (year vs seconds). Kwa kipengele a, nadhani ukibadilisha year to seconds then ukafanya mlinganyo utapata speed in cm/second. NB, BAM nilipara F
 
Swali la kwanza
a ) Assume 1 year = 365.25days
So , 1 year = (365.25×24×60×60)seconds
= 31,557,600 s

If it covers 4cm in 31,557,600 seconds ,
Then in 1 second it will cover [ 4 ÷ 31,557,600 ] cm
Malizia

b) 4cm = 0.00004 km .... eqn ( i )
1 yr = 0.000001 million year.... eqn (ii)
Divide i by ii
4cm/yr = 40 km/million year
 
Bro hapo a amesema tafuta distance

Kwenye kipendgele a) Speed = distance\time, swali sasa je hatuandiki jibu in unit za m/s ambayo ni unit za speed

Swali b ndio tutakua na distance je hatutaitumia kutafuta speed in million year
 
Nini hujaelewa hapo mkuu,, maelezo yamejitosheleza kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…