Watafiti: Vyakula vyenye Cholesterol sio tishio tena kwa afya

Wanadanganya hao ndo maana watu wanakuwa na matumbo kama mifuko,however,mhudumu leta kitimoto na matoke usisahau mchicha
 
unaweza ukute kweli kwasababu siku hizi magonjwa mengi ni ya kutengenezwa halafu wanasingizia kitu flani unakuja kujiuliza mbona wazee wetu wazamani mbona walikuwa hawaumwi magonjwa ya ajabu ajabu na wakati huo hivyo vitu walikua wanavitumia muda wote ila tulipo kuja kufahamiana na wazungu ndio ikawa kosa
na matatizo yakaanza mara ukimwi mara saratani magonjwa kibao
 
Hivi hizi tafiti hufanywa tu na wazungu?! Hivi sisi hatuwezi kufanya tafiti zetu na kuwapelekea badala ya wao kutuletea tu kila kitu?
 
Hivi hizi tafiti hufanywa tu na wazungu?! Hivi sisi hatuwezi kufanya tafiti zetu na kuwapelekea badala ya wao kutuletea tu kila kitu?
Kwa miaka mingi sasa serikali yako haijatoa pesa kwa wizara na taasisi husika kwa ajili ya utafiti. Watafiti wetu wako maofsini kucheza karata kwe kumpyuta na kusoma magazeti.
 
andishile upo? Miss you sana hope upo ok...

But unajua cholesterol siyo mbaya ila unapokula vyakula vya wanga kwa wingi ukijumlisha na mafuta ndio vina sababisha cholesterol levels kwenye damu iongezeke... Tujitahidi tule wanga kiasi
 
Last edited by a moderator:
andishile upo? Miss you sana hope upo ok...

But unajua cholesterol siyo mbaya ila unapokula vyakula vya wanga kwa wingi ukijumlisha na mafuta ndio vina sababisha cholesterol levels kwenye damu iongezeke... Tujitahidi tule wanga kiasi

Nipo my dear,miss you too!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…