Watafiti: Vyakula vyenye Cholesterol sio tishio tena kwa afya

Watafiti: Vyakula vyenye Cholesterol sio tishio tena kwa afya

Wanadanganya hao ndo maana watu wanakuwa na matumbo kama mifuko,however,mhudumu leta kitimoto na matoke usisahau mchicha
 
unaweza ukute kweli kwasababu siku hizi magonjwa mengi ni ya kutengenezwa halafu wanasingizia kitu flani unakuja kujiuliza mbona wazee wetu wazamani mbona walikuwa hawaumwi magonjwa ya ajabu ajabu na wakati huo hivyo vitu walikua wanavitumia muda wote ila tulipo kuja kufahamiana na wazungu ndio ikawa kosa
na matatizo yakaanza mara ukimwi mara saratani magonjwa kibao
 
Utafiti mpya umeonyesha kuwa vyakula vyenye cholesterol au lehemu mfano mayai na siagi sio tishio kwa afya kama ilivyojulikana awali. Watafiti wamegundua hakuna uhusiano wa mafuta kuongezeka kwenye mishipa ya damu na vyakua hivyo. Tayari Marekani wanajiandaa kuondoa vyakula hivyo kwenye orodha ya vyakula hatarishi.

===========================================



Source😀ailymail

Hivi hizi tafiti hufanywa tu na wazungu?! Hivi sisi hatuwezi kufanya tafiti zetu na kuwapelekea badala ya wao kutuletea tu kila kitu?
 
Hivi hizi tafiti hufanywa tu na wazungu?! Hivi sisi hatuwezi kufanya tafiti zetu na kuwapelekea badala ya wao kutuletea tu kila kitu?
Kwa miaka mingi sasa serikali yako haijatoa pesa kwa wizara na taasisi husika kwa ajili ya utafiti. Watafiti wetu wako maofsini kucheza karata kwe kumpyuta na kusoma magazeti.
 
imefika wakati sasa,kila siku tunachanganywa tuuu na hizi tafiti, mf Joel akisema chakula hiki kibaya ,john anatoka na utafiti kuwa sio kibaya! mf,tuliaminishwa miaka yote kuwa ukila chakula ule mlo kamili pamoja na matunda ,ghafla ukaja utafiti oh,usile matunda wakati wa kula chakula,!kula matunda halafu kaa nusu saa au lisaa ndo ule chakula.ngoja turudi kule kwa mababu zetu,tutakula vyakula vyetu vya asili!hawa wazungu hawa na ajenda zao za siri tumeshtuka!Yupi mkweli yupi muongo?WANATUCHANGANYA!
andishile upo? Miss you sana hope upo ok...

But unajua cholesterol siyo mbaya ila unapokula vyakula vya wanga kwa wingi ukijumlisha na mafuta ndio vina sababisha cholesterol levels kwenye damu iongezeke... Tujitahidi tule wanga kiasi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom