Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utafiti mpya umeonyesha kuwa vyakula vyenye cholesterol au lehemu mfano mayai na siagi sio tishio kwa afya kama ilivyojulikana awali. Watafiti wamegundua hakuna uhusiano wa mafuta kuongezeka kwenye mishipa ya damu na vyakua hivyo. Tayari Marekani wanajiandaa kuondoa vyakula hivyo kwenye orodha ya vyakula hatarishi.
===========================================
Source😀ailymail
Kwa miaka mingi sasa serikali yako haijatoa pesa kwa wizara na taasisi husika kwa ajili ya utafiti. Watafiti wetu wako maofsini kucheza karata kwe kumpyuta na kusoma magazeti.Hivi hizi tafiti hufanywa tu na wazungu?! Hivi sisi hatuwezi kufanya tafiti zetu na kuwapelekea badala ya wao kutuletea tu kila kitu?
Pamoja na yote inabidi mtu ajipange kwenye mlo mzuri
andishile upo? Miss you sana hope upo ok...imefika wakati sasa,kila siku tunachanganywa tuuu na hizi tafiti, mf Joel akisema chakula hiki kibaya ,john anatoka na utafiti kuwa sio kibaya! mf,tuliaminishwa miaka yote kuwa ukila chakula ule mlo kamili pamoja na matunda ,ghafla ukaja utafiti oh,usile matunda wakati wa kula chakula,!kula matunda halafu kaa nusu saa au lisaa ndo ule chakula.ngoja turudi kule kwa mababu zetu,tutakula vyakula vyetu vya asili!hawa wazungu hawa na ajenda zao za siri tumeshtuka!Yupi mkweli yupi muongo?WANATUCHANGANYA!
andishile upo? Miss you sana hope upo ok...
But unajua cholesterol siyo mbaya ila unapokula vyakula vya wanga kwa wingi ukijumlisha na mafuta ndio vina sababisha cholesterol levels kwenye damu iongezeke... Tujitahidi tule wanga kiasi