Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Kunguru anapokutizama sio kwamba anakutizma ilimradi hapana ana uwezo wa kutunza kumbukumbu.
Katika utafiti wa muda mrefu ukiongozwa na Profesa John Marzluff katika chuo Kikuu Cha Washington, watafiti waliweza kugundua kuwa kunguru (crows) Wana uwezo wa kutambua sura za binadamu na kuwa ba kinyongo na wewe kwa muda wa miaka 17.
Kinyongo icho kinaweza kurithishwa hata kwa watoto wa kunguru ambao hawajazaliwa watakapo zaliwa wanakua na kinyongo pia kwa muda miaka 17.
They don't forget!, they don't forgive 🐦 jihadhari kupiga piga kunguru hovyo. Usije kumdharau kunguru kamwe.
Credit to: #bongotech255