Ndio waacheni wabebe, mkiwazuia watakuwekeeni kinyongo, hapatatoshaWaendelee kubeba samaki tukianika kwenye nyungo🤒
😂😂😂😂Warudi porini huko,watu watuwekee vinyongo na wao watuwekee kinyongo kwa lipi?
Kunguru anaweza ishi hata miaka 100Kwani kunguru huishi miaka mingapi
Swali lako hili limenisukuma kwenda kutafiti.Kwani kunguru huishi miaka mingapi