Watafiti wanasema kunguru anaweza kuwa na kinyongo na binadamu miaka 17 🐦

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Kunguru anapokutizama sio kwamba anakutizma ilimradi hapana ana uwezo wa kutunza kumbukumbu.

Katika utafiti wa muda mrefu ukiongozwa na Profesa John Marzluff katika chuo Kikuu Cha Washington, watafiti waliweza kugundua kuwa kunguru (crows) Wana uwezo wa kutambua sura za binadamu na kuwa ba kinyongo na wewe kwa muda wa miaka 17.

Kinyongo icho kinaweza kurithishwa hata kwa watoto wa kunguru ambao hawajazaliwa watakapo zaliwa wanakua na kinyongo pia kwa muda miaka 17.

They don't forget!, they don't forgive 🐦 jihadhari kupiga piga kunguru hovyo. Usije kumdharau kunguru kamwe.

Credit to: #bongotech255
 
Kunguru kweli wanakumbukumbu nakumbukka kuna kiota Chao nilikikuta shambani kwangu sasa nikakitoa kilokuwa na makinda wao waliitana wengi siku nakitoa.
Sasa ilikuwa kila nikienda shamba wananikumbuka wanapiga makelele wanaitana wanakuwa wananifuatilia kwa hasira nakumbuka kuna siku nilikwenda huko shamba nikawa sina time nao mmoja akanipitia kichwani akanidonoa .
Nikajua jamaa wananikumbuka niliua vikinda vyao.
Kwa sasa wamenisahau hawanimaind
 
Kinyongo cha Kunguru kina athari gani?
Kunguru wanaiba nyama na kupora vifaranga, nitaendelea kuwafukuza wakaendeleze kinyongo.
 

Hawana kazi za kufanya
 
Sasa kinyongo Cha kunguru kitanipunguzia nini au kuniongezea nini yeye anavyokamata vifaranga na kuviua ua kwani kuku Huwa anamtunzia kinyongo ni mambo ya kipuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…