Watahiniwa binafsi na mitihani miwili kidato cha sita

Watahiniwa binafsi na mitihani miwili kidato cha sita

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Wizara ya elimu imekuja na mpango mpya ambao watahiniwa binafsi watafanya kila somo mitihani wiwili paper one mark 30 na paper two 70 mark .

Zikijumlishwa unapata marksi 100.

Wasiwasi wangu.

1. Ni mzigo kwa watahiniwa wa gharama za kuishi wakati wa kipindi cha mitihani - kutoka siku 7 mpaka 14

2. Gharama za usimamizi zinaongezeka ambao ni mzigo kwa taifa

3. Gharama za ulinzi zinaongezeka kutokana na askari wengi kuwa wanasimamia mitihani , inaweza kuwa ni lup all ya majambazi kufanya uharifu wakijua askari wengi wapo wana simamia mitihani

4.Gharama za ushahihishaji

5. Gharama za karatasi.

Niwekeni vizuri wanajamvi; mfumo wa zamani unamadhaifu gani ?
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa hapo mwanzo. Mtihani wa kwanza unalinganishwa na "Continuous assessment" ya mwanafunzi.
 
Maajabu yako mengi Tanzania, Yaani mabadiliko yana kuja bado siku hapo amejiaandaje kisaikolojia,kifedha na kitaaluma pia ?
 
Back
Top Bottom