Niko bize namwaga oil kwa hili lipikapu letu Toyota Stout. .. Si wajua lazima turudi na mbege, ndizi na kitimoto tukienda kuhesabiwa?Baaabuuuuuuuu Le Big Sam Orijinale mwenyeweee
Babu mwenye wajukuu zake wenye kucheza na sharubu zake.
Twenzetu Kabuku.
Why..?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£usitamani hata
Ninong'oneze..Mimi niko na wale vijana wangu wawili tu na kuwataja siwezi nitawavutia kaganja siku moja nichafue chafue PM zenuπ€£π€£π€£π€£
Nimesikia sauti ya malaika wa amani ikinambia baba jiandae upo miongoni mwa hao wawiliMimi niko na wale vijana wangu wawili tu na kuwataja siwezi nitawavutia kaganja siku moja nichafue chafue PM zenuπ€£π€£π€£π€£
π π π Bibi una mambo wewe ila hapa kwangu panaitwa hamtoki..
sio kama mtakuja msipokuja tulalame
na sio kama ulikochovya huko ambako kunani....
Sema Wacha niendelee kushuudia moto wenu unavyowaka..
Maan umenivutia tangu siku ya kwanza..
Ya nini kuuiba moto usio wa kwangu
Japo wameniambia nikiendelea na hii heshima ya moto wa jirani kwangu hautawaka kamwe
Sema najua bibi wewe wawajua wengi wenye kiberiti utanitafutia mwenye kiberiti cha kuni za mpingo aje kuwasha makaa yangu ya mawe mileleπ
Babu say something please, eti ni kweli Kasie ni kibibi?π
Niko bize namwaga oil kwa hili lipikapu letu Toyota Stout. .. Si wajua lazima turudi na mbege, ndizi na kitimoto tukienda kuhesabiwa?
Usisahau kubeba ile naniliu yako ya pink... inanipaga mashamsham wakati tukitenda dhambi ya uzinzi
π π π π Bibi me najua wajukuu zako wote wawajua...Tangazooooo....!!
Wajukuu zangu wote wa kike, mwijukulu wangu huyu anatafuta jiko, aliyewaandalia tayari kuachana na ukapera....!
Mwijukulu, watakula sasa hivi wote wako vizuri ugangamale wasiondoke hadi moto uwake π
1. Joannah
2. Shunie
3. financial services
Nawahusudu sana hao wadada and I wish one day nipate nao walau ka @lanchi
π π π π Bibi me najua wajukuu zako wote wawajua...
emb nitajie tu wa kunifaaa π
Nimeweka kambi kumgonjea mwari...Miss Natafuta ...π
Nimeweka kambi kumgonjea mwari...
Miss Natafuta
Na mchumba mbona hutokei mama weee
Nimchoka kucholeshana nambie
π π π Eboh...Vuta subira, mambo mazuri hayataki haraka. Atakuwa anamalizia kuandaa listi ya mhitaji yake ya sikukuu aje kukukabidhi π
Me natamani kukutana na smart911, kichwa kichafu na mdada mmoja hivi ila nimemsahau jina nikimkumbuka namtaja Sasa hivi.