Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Baaabuuuuuuuu Le Big Sam Orijinale mwenyeweee

Babu mwenye wajukuu zake wenye kucheza na sharubu zake.

Twenzetu Kabuku.
Niko bize namwaga oil kwa hili lipikapu letu Toyota Stout. .. Si wajua lazima turudi na mbege, ndizi na kitimoto tukienda kuhesabiwa?
Usisahau kubeba ile naniliu yako ya pink... inanipaga mashamsham wakati tukitenda dhambi ya uzinzi
 
Mimi niko na wale vijana wangu wawili tu na kuwataja siwezi nitawavutia kaganja siku moja nichafue chafue PM zenu🤣🤣🤣🤣
Nimesikia sauti ya malaika wa amani ikinambia baba jiandae upo miongoni mwa hao wawili
 
😅😅😅Bibi una mambo wewe ila hapa kwangu panaitwa hamtoki..
sio kama mtakuja msipokuja tulalame
na sio kama ulikochovya huko ambako kunani....
Sema Wacha niendelee kushuudia moto wenu unavyowaka..
Maan umenivutia tangu siku ya kwanza..
Ya nini kuuiba moto usio wa kwangu
Japo wameniambia nikiendelea na hii heshima ya moto wa jirani kwangu hautawaka kamwe
Sema najua bibi wewe wawajua wengi wenye kiberiti utanitafutia mwenye kiberiti cha kuni za mpingo aje kuwasha makaa yangu ya mawe milele😉

Tangazooooo....!!

Wajukuu zangu wote wa kike, mwijukulu wangu huyu anatafuta jiko, aliyewaandalia tayari kuachana na ukapera....!

Mwijukulu, watakula sasa hivi wote wako vizuri ugangamale wasiondoke hadi moto uwake 😅
 
Niko bize namwaga oil kwa hili lipikapu letu Toyota Stout. .. Si wajua lazima turudi na mbege, ndizi na kitimoto tukienda kuhesabiwa?
Usisahau kubeba ile naniliu yako ya pink... inanipaga mashamsham wakati tukitenda dhambi ya uzinzi

Nimeitika wito babu niko tayari mara mia na nusu. Nasubiria kuona vile utakuwa ukikanyagia klachi na kubadili gia, mbele nyuma mbele nyuma....😜😜

Mahitaji yote muhimu nimeyafungasha.
 
Tangazooooo....!!

Wajukuu zangu wote wa kike, mwijukulu wangu huyu anatafuta jiko, aliyewaandalia tayari kuachana na ukapera....!

Mwijukulu, watakula sasa hivi wote wako vizuri ugangamale wasiondoke hadi moto uwake 😅
😅😅😅😅Bibi me najua wajukuu zako wote wawajua...
emb nitajie tu wa kunifaaa 😉
 
Vuta subira, mambo mazuri hayataki haraka. Atakuwa anamalizia kuandaa listi ya mhitaji yake ya sikukuu aje kukukabidhi 😅
😅😅😅Eboh...
Anyway ngoja aje nayo nijitutumue...
 
Back
Top Bottom