Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Bibi umetokea tanga wewe sio???🤔Aaahahahahhahaaaa
Hakufi mtu ila atakuwa anazirai halafu anazinduka halafu anazirai tena na kuzinduka hivyohivyo hadi kiwi imkatike 🤪 au aombe poo 😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi umetokea tanga wewe sio???🤔Aaahahahahhahaaaa
Hakufi mtu ila atakuwa anazirai halafu anazinduka halafu anazirai tena na kuzinduka hivyohivyo hadi kiwi imkatike 🤪 au aombe poo 😅
Mahabuba wangu umeniita?
Bibi umetokea tanga wewe sio???🤔
Daah😅😅😅Aahahahahhaaa huko nimechovyea nusu, nusu nimechovyea kuliko na chem chem za asali aka mautamu😅
Daah😅😅😅
Isingekuwa story yako na yule jamaa wa jeshini mliekutana nae hivi karibuni
Ningekuwa nilishafika Pm na kishikia uchumba 😂😂😂
Alafu hujatupa mrejesho au ni me sijaona
kwa hiyo mambo ni motto....Aaahahahahhhaha
Mie sinaga mrejesho ni muendelezo tuu yaani party after party 🎉
Apa maeneo yakanisa la kkktsehem gan??
kwa hiyo mambo ni motto....
Bibi una balaa wewe
Moto kwangu hauwaki...Aahahahahahhaaa balaaa blablai kilo moja na nusu mithili ya bi kidude 😅
Msimu wa sikukuu huu mjukuu, kama moto hauwaki unaenda omba kwa jirani ukolezee kwako nako uwake.
Moto kwangu hauwaki...
na jirani wangu ndo weye....
Niko njian naja😅🏃
😅😅😅Bibi una mambo wewe ila hapa kwangu panaitwa hamtoki..Aahahhahahaaaaa mgiriki weeyeeee
Ukuye na tiketi kabisaaa, nikishakupeya moto tunahama kituo kwenda kukiwasha mahala pengine hadi tulipue fataki ndo tutaacha kupeana moto.
Ujipange kisawasawa maana sinaga mapumziko mie 🤪🤪😜😜😜 aahahahahahhaaa.
Babu say something please, eti ni kweli Kasie ni kibibi?😛Aahahahahahaa ngoja nikuitie mzee mwenzangu akuhakikishie kyes mie ni kizee 😅
Babuuuu Asprin njooooooooo.
Wow tunakupenda pia lastborn, kuhusu lunch inabidi kweli tufanye jambo juu ya hilo,can't wait😋😋1. Joannah
2. Shunie
3. financial services
Nawahusudu sana hao wadada and I wish one day nipate nao walau ka @lanchi
Nishatoa tayari mgiriki🤗financial services tunaomba uje utoe tamko huku🏃
Nitendee haki jaman
wallah wabillahNitendee haki jaman
inapendeza...👏Nishatoa tayari mgiriki🤗