Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Baby mbona sijakuacha hizo nguvu nitazitolea wapi kwa mwanamke mzuri mwenye staha na heshima tele.

Mwanamke wa ndoto zangu tujenge family na malezi bora kwa watoto.



How i wish to meet these people.
1) Kasie mahaba- napenda stories zake huwa naenjoy, pia anasemaga yeye ni bibi ila nahisi ni kabinti tu anatuzuga.
2) Masterplan - Plans master
3) Kichwa Kichafu- ana madini fulani hivi afu alikuaga babe ila kaniacha
4) SHIMBA YA BUYENZE - Salimet afu huwa nahisi si mbongo huyu
5) Sky Eclat - Doctor herself na ana madini fulani ya afya muhimu
6) miminimkulimaakachekasana - nahisi nikimuona tu ntaanza kucheka hili jina
7) Paula Paul -lazima ni mtoto wa kishua huyu,napenda English yake[emoji7]

Na wengineo kibao, ingewezekana siku tuonane wote tu tupige mastories mpaka basi, usiku mwemaa.
 
Back
Top Bottom