Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Wakisema hatupungukiwi chochote my friend 🤗🤗watasema mshamba anakutafuna🤣 em tuma yako kwanza nione
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakisema hatupungukiwi chochote my friend 🤗🤗watasema mshamba anakutafuna🤣 em tuma yako kwanza nione
zangu ndo za hivyohivyo tu, hamna kipya🙃tuma yako kwanza bana😅
Hiyo imekaa sawa lakini hukusema hivyo kwenye uzi wako! Umesema marafiki wako ni wowote wale wanaokusema vizuri! Which means, wanaokusema vibaya (hata kama ni kweli na lengo lao ni kukusaidia uwe bora) hao si rafiki kwako!Sijawahi pata marafiki wa kunificha jambo kama nimekosea lazima waniseme wanichane
Sina lingine kwakweli255718569091
Sema lingine
[emoji1787] SawaSina lingine kwakweli
Haya bhana🙌🙌[emoji1787] Sawa
Mweeh!!No ,wewe nI wa humuhumu
Wahooooo i love more dear.
Asante sana Rafiki yangu!
Barikiwa sana 🙏Asante sana Rafiki yangu!
Aaamen Amen 🙏. Kwema huko lakini??Barikiwa sana 🙏
Niko poa kabisa....hope upo salama piaAaamen Amen 🙏. Kwema huko lakini??
Mungu akubariki sana cute wangu.♥️♥️♥️Wahooooo i love more dear.
Humu kila mtu anarafiki yake sio mpenzi au mchumba ni mtu mliyeshibana wataje au mtaje.