Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Master jay alioa harusi kabisa kanisani.. na ilikuwa diamond jubilee ukumbi.. ndoa yake ilivunjika.. ila alizaa watoto wawili na mke wake huyo...


Baba yake master jay mzee kimario alikuwa mkurugenzi Tanesco enzi za mkapa.. harusi kabisa kanisani tena harusi kubwa ya gharama,, kweye harusi zawadi walipewa nyumba
hivi hajaoa kabisa?? nkajua ndoa yake ilovunjika,maana wazazi wake walikuwa wanamlazimisha sana aoe
 
[emoji23][emoji23] mpaka kavunja ndoa atakuwa alikutana na mauza uza
 
Ni watoto watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…