Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Hivi tusipooa mnapungukiwa nini?!
Tumsubiri mleta mada aje atujibu.

Maana yeye alitaka tu tumpe listi me sijui ana kazi nazo gani, labda yuko kwenye kufanya research
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…