Oscardious
Member
- Jun 28, 2012
- 24
- 0
Mtihani wa kidato cha pili unaanza leo nchini kote. Serikali imerudisha utaratibu ulikuwepo hapo mwanzo wa mchujo. Waziri wa elimu amesema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi nimesikia kwenye magazeti ya leo, asubuhi.Waziri wa elimu amesema..................mi sijui!!
maksi 30?, huo si mchujo ila ofa!
Swali langu, wakishafukuzwa shule hawa wanafunzi, wataenda wapi hawa watoto katika mazingira ya sasa.... Ukahaba, wizi. Nani atawahajiri watoto waliofeli Form II ????