thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Wapo Watakatifu Waafrika wengi pia wakiwemo mashahidi wafia dini wa Uganda kina Kalori Lwanga na wenzake.Shida kwa Africa Ni upatikanaji wa taarifa sahihi kwa wakati.
Hata JPM kwa kauli zake na msimamo wake juu hatua za kukabili uviko 19 na kujitoa kwake, aliokoa maisha ya wengi kwa Imani thabiti kwa Mungu.
Kigezo hicho Pekee mbali ya madhaifu yake mengine anaweza kutangazwa Mtakatifu.
achana na hayo mambo kufkiri kuhusu mizimu usiyaguse mzeeKuwaomba mizimu ni maamuzi yako kama mtu mzima wengine tunagonga tu mtakatifu mzimu utuombee
kesi ya gilesi na taco la kutetemeka😅😅😅Sasa mkuu kwa mashida tunayopitia duniani sisi waafrika ukija kufa et bado unatakiwa uje Tena utatue shida za ukoo! Unafikiri tutaitwaje sasa..?
Mfano wewe tu ulikujaga na ID ukajiita gilesi watu wakakushitukia wakakuumbua!
Haya tuje tukuite mtakatifu kweli! We ni mzimu tu..🤣🤣
Unaogopa auachana na hayo mambo kufkiri kuhusu mizimu usiyaguse mzee
Hapana kwani hakuna kilicho juu ya Mungu...lakini sipendi mtu aingie huko sio kuzuriUnaogopa au
Kwani mzimu mtakatifu aka holy ghost ni wakina nani au hao watakatifu ni watu gani??? Nao si mizimu au?Hapana kwani hakuna kilicho juu ya Mungu...lakini sipendi mtu aingie huko sio kuzuri
Kwani neno mizimu lina ubaya gani. Acha wao waitwe watakatifu sisi tutawaita mizimu kila mtu ashike lake. Hata majina wao wana yao ya akina John sisi tu yetu ya akina mwakingwe na hatulalamiki.Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana.
Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu.
Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani. Sisi sio wapagani, ndio maana tunatambua uwepo wa Mungu Mkuu tuliye mwita kwa majina mbalimbali mfano Mulungu, Nguluvi nk.
Tunaomba mheshimu imani yetu. Makafiri na mapagani ni nyie mnaoabudu dini za magabachori