Kinacholeta speed ni nguvu ya injini...Kadiri injini zinavyoboreshwa miundombinu yake ikiwemo reli nayo inabadilishwa kwa sbb mambo mengi yatabadilika.Mfano
Kenya train zao za SGR max speed ni 120km/hr haitumii umeme.
Tanzania max speed ya SGR tuna ambiwa ni 160km/hr hii utatumia umeme...
Mwarabu, sio mzungu. Mzungu yuko nyuma, mwarabu alishaanza testingInategemea na aina ya engine, wazungu soon wanakuja na kitu cha hyperloop hiyo itakua balaa.