Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Mfano
Kenya train zao za SGR max speed ni 120km/hr haitumii umeme.
Tanzania max speed ya SGR tuna ambiwa ni 160km/hr hii utatumia umeme.
Morrocco train yao (LGV) max speed 320km/hr hii inatumia umeme pia.
South africa train zao ni max speed ni 160km/h hizi nazo zinatumia umeme.
Swali linalo kuja akilini ni kwamba mfano Tanzania tukataka tuwe na train yenye speed kama ya Morocco ya mac speed 320km/ h , Je
1. Itabidi tujenge reli mpya?
2. Itabidi tununue vichwa vipya?
Ndio hapo nauliza kwa watalaam kwamba speed ya train inategemeana na miundo mboni kwa maana ya reli au train yenyewe?
TGV morrocco 320/h