Watalaam: Kinachofanya speed ya train kuwa kubwa ni aina reli au engine ya treni?

Watalaam: Kinachofanya speed ya train kuwa kubwa ni aina reli au engine ya treni?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Mfano
Kenya train zao za SGR max speed ni 120km/hr haitumii umeme.

Tanzania max speed ya SGR tuna ambiwa ni 160km/hr hii utatumia umeme.

Morrocco train yao (LGV) max speed 320km/hr hii inatumia umeme pia.

South africa train zao ni max speed ni 160km/h hizi nazo zinatumia umeme.

Swali linalo kuja akilini ni kwamba mfano Tanzania tukataka tuwe na train yenye speed kama ya Morocco ya mac speed 320km/ h , Je

1. Itabidi tujenge reli mpya?
2. Itabidi tununue vichwa vipya?


Ndio hapo nauliza kwa watalaam kwamba speed ya train inategemeana na miundo mboni kwa maana ya reli au train yenyewe?

TGV morrocco 320/h
 
Mfano
Kenya train zao za SGR max speed ni 120km/hr haitumii umeme.

Tanzania max speed ya SGR tuna ambiwa ni 160km/hr hii utatumia umeme...
Kinacholeta speed ni nguvu ya injini...Kadiri injini zinavyoboreshwa miundombinu yake ikiwemo reli nayo inabadilishwa kwa sbb mambo mengi yatabadilika.

Ndio maana SGR ,miundo mbinu ya zamani mfano reli ya taraza/kati haiwezi kusapoti ndio maana wanajenga reli na miundo mbinu mingine upyaaa.

Hata hii SGR japo kwetu ni mpya lkn ukileta 'bullet train' zilizo kwa wenzetu haiwezi kufanya kazi kwasbb kasoro zitakuwa nyingi. Kama hujaelewa hapa basi tena,hiyi kwa ufupi sanaaaaa.
 
Inategemea na aina ya engine, wazungu soon wanakuja na kitu cha hyperloop hiyo itakua balaa.
 
Nafikiri kama Kwenye uchaguzi huu mweshimiwa Raisi akituahid kumnunulia gari ya Bugati kila mtanzania mwenye Lesen, itabidi ahaid na kututengenezea barabara zetu upya! Bila ivyo gari zitakufa mapema sana na ajali zitakua nyingi.....!


Kwa yale makelele ya maungio, vivuko vya kupishana vya barabara na reli na zile kona za reli ya kati ningumu kuimili speed kubwa.....

Penginepo ni rahisi kuapgrade iyo SGR Kwenda generation nyingine kuliko reli ya kati.
 
vyote viwili vinachangia mwendokasi wa train, reli ambazo treni zenyekasi kubwa zinapita zinaongezewa teknolojia ya usumaku ambao unapunguza ukinzani na kuifanya treni kutembea bila kugusana na reli. wataalamu zaidi watatusaidia. lakini pia nguvu ya kichwa cha treni pia nayo inachangia
 
Back
Top Bottom