Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

HOPEfull

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
1,882
Reaction score
2,313
Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana.

Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
 
Tecno kampuni iliyokuja tanzania na africa kujifunza kutengeneza simu na majaribio mkauziwa wateja.

achana na hiyo takataka
 
Hizi processor kuna vitu viwili
1. Manufacturing process
2. Core iliotumika.

Simu ikiwa na manufacturing process za kisasa kama 6nm na core mpya kama Cortex A78 sio tu itakaa na chaji bali pia haitapata joto sana, itakusaidia wakati kama huu.

Hata kama unanunua kina Tecno ukifuata huo muongozo itakusaidia, tafuta zenye dimensity 900, 1080 etc.
 
Back
Top Bottom