Hizi processor kuna vitu viwili
1. Manufacturing process
2. Core iliotumika.
Simu ikiwa na manufacturing process za kisasa kama 6nm na core mpya kama Cortex A78 sio tu itakaa na chaji bali pia haitapata joto sana, itakusaidia wakati kama huu.
Hata kama unanunua kina Tecno ukifuata huo muongozo itakusaidia, tafuta zenye dimensity 900, 1080 etc.