Watalaam wa madini mnisaidie

Watalaam wa madini mnisaidie

Hiyo ni amethysist ni crystalline quartz ambayo ranging yake ni pallic blue to reddish pupple, hardness yake ni 7 Na thamani yake si kubwa sana kulingana Na ISG scale yake.
Waunazaje kwa kilo au kwa gram?
 
Mimi hata sijichoshi kukuelekeza mtu kuhusu madini humu jf. Kilichonitokea 2016/17, kilinipa funzo. Kidogo nichizike
 
Fanya kutaja maeneo ulipoyapata naweza kupa mwanga kidogo
Morogoro chief
IMG-20200627-WA0010.jpg


Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom